Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Ingekuwa rahisi kwenda basi kila nchi wangejazana sana..ELEWA kufanikiwa kushiriki Olympic kila mchezo una qualifications zake...kuzifikia hizo qualifications ndio mtihani .Lazima uende ktk mashindano mengine makubwa yanayotambuliwa ili upate qualifications...so inahitaji sponsorship na maandalizi ya muda mrefu
 
Simone Biles - Wikipedia ni Mweusi kama wewe na tayari ana gold 3 za Gymnastic hadi sasa kwenye olympic inayoendelea France,Sijui kwa nini hakushiriki kwenye hiyo category ya gymnastic aliyoshinda MAlgeria , ameshiriki categries nyingine.
Jana nilipita YouTube nikawa namcheki, yuko vizuri kwa kweli, pia katabasamu kake sio haba.

Leo nilikuwa Twitter nikaona mumewe anampongeza sana ingawa watu walikuwa wanamdiss pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…