Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Tanzania tupo kesho kuanzia saa mbili na nusu asubuhi, mbio za kutembea, Marathon race walk relay mixed. Tunawakilishwa na masista du 2, na masela 2. kila la kheri Tanzania
 
Mbona sion hata taarifa za uwepo wa hawa wanamichezo kila nikigoogle siwaoni
kweli mkuu, nimekosea,

tunakimbia agosti 10 Men Marathon tunawkimbiaji wawili muda kuanzia saa 3 asubuhi.

tunakimbia tena agosti 11 Women Marathon wakimbiaji wawili muda kuanzia saa 3 asubuhi

Ratiba. ni official website ya olympics
 
Ntafuatlia ahsnte kwa taarifa
 
Walk mixed relay imeanza.. namwona yule mshindi wa kutembea upande wa wanaume yupo. Hii team inainvolve Ke na me
 
IMG_20240807_190113_775.jpg
 
Tanzania tupo kesho kuanzia saa mbili na nusu asubuhi, mbio za kutembea, Marathon race walk relay mixed. Tunawakilishwa na masista du 2, na masela 2. kila la kheri Tanzania
Wameshika nafasi ya ngapi
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kila akibeba gold mimi mchina wa kujitolea nasikitika sana
Hahahah wachina nao wana michezo yao… kama ile acrobatic ya kwenye maji(ke) wameshinda wachina, wakafuatia marekani then Spain
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wameshika nafasi ya ngapi
Bado nilikosea aisee

kweli mkuu, nimekosea,

tunakimbia agosti 10 Men Marathon tunawkimbiaji wawili muda kuanzia saa 3 asubuhi.

tunakimbia tena agosti 11 Women Marathon wakimbiaji wawili muda kuanzia saa 3 asubuhi

Ratiba. ni official website ya olympics
Agosti 10, na 11
 
Back
Top Bottom