Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Diving mtu unaangalia huku unagopa mtu anavyojirusha asije jigonga kichwa pale wanaporukia au akajigonga kichwa chini
 
Diving mtu unaangalia huku unagopa mtu anavyojirusha asije jigonga kichwa pale wanaporukia au akajigonga kichwa chini
Gold china, wanaupiga mwingi sana, diving zote wamebeba gold
 
Habari wapenda michezo,

Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu

Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Facility za kufanya hiyo michezo ni chache na akuna kabisa wenye uwezo wanaenda nchi zingine kujinoa na hili jambo ni mwiba sana maana watu wote tunajibana katika mambo machache na kutengeneza msongamano mkubwa wa uhaba wa ajira kumbe ingetumika loophole hiyo kunusuru vijana wengi kuona nje ya box
 
Mjerumani huyu anaitwa Malaika Mihambo
Malaika_Mihambo_(2013_World_Championships_in_Athletics)_02.jpg
 
Bwana mdogo ana Maendeleo mazuri.. Mbeleni anaweza piku moja Record ya Bolt hasa kwenye 200m..
Alafu dogo hana makelele mengi
Alafu mguu mmoja kama mfupi hivi.
Hana heka hekanamaintain tu
 
Bwana mdogo ana Maendeleo mazuri.. Mbeleni anaweza piku moja Record ya Bolt hasa kwenye 200m..
Alafu dogo hana makelele mengi
Alafu mguu mmoja kama mfupi hivi.
Mtangazaji anasema hii ndo mara ya kwanza kwa africa kushinda medali ya gold kwa mbio za m 200
 
Hivi jmn sie wabongo tumeshindwa hata kupeleka warusha mikuki kweli 😂
Kama ulicheki diving wale divers wa china men and women wote report zinaswma walichukuliwa toka wana miaka 7. Matokeo yake ndo perfomance zile walizotoa. Huku sisi hili swali kila msimu tunasema na hakuna kitu kinabadilika. Acha tiendelee shangilia tu🤣
 
Inshu ni hayo mazoezi utayafanyia wapi? Inakupasa kuwa na viwanja na vipimo sahihi..hata hivyo inawezekana.
Ss serikali si itafute vieanja, yn sie tumekazana tu na football wkt huku kuna michezo mingi tu ambayo ikiangaliwa kwa jicho la tatu tanaweza tukafanya vzr
 
Back
Top Bottom