Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Wametia huruma, hawaamin km hawatokua kwny fainaliJamaica kachoma 4 ×100 men
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametia huruma, hawaamin km hawatokua kwny fainaliJamaica kachoma 4 ×100 men
Gold china, wanaupiga mwingi sana, diving zote wamebeba goldDiving mtu unaangalia huku unagopa mtu anavyojirusha asije jigonga kichwa pale wanaporukia au akajigonga kichwa chini
Facility za kufanya hiyo michezo ni chache na akuna kabisa wenye uwezo wanaenda nchi zingine kujinoa na hili jambo ni mwiba sana maana watu wote tunajibana katika mambo machache na kutengeneza msongamano mkubwa wa uhaba wa ajira kumbe ingetumika loophole hiyo kunusuru vijana wengi kuona nje ya boxHabari wapenda michezo,
Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
NAmlaumu kishane kwenye 100mBotswana wamebeba dhahsbu hpa. Ila olympic hii ina maajabu yake jmn
Baba yake katokea ZNZMjerumani huyu anaitwa Malaika Mihambo
View attachment 3064815
Bwana mdogo ana Maendeleo mazuri.. Mbeleni anaweza piku moja Record ya Bolt hasa kwenye 200m..Tebogo. 200m gold botswana
Hana heka hekanamaintain tuBwana mdogo ana Maendeleo mazuri.. Mbeleni anaweza piku moja Record ya Bolt hasa kwenye 200m..
Alafu dogo hana makelele mengi
Alafu mguu mmoja kama mfupi hivi.
Mtangazaji anasema hii ndo mara ya kwanza kwa africa kushinda medali ya gold kwa mbio za m 200Bwana mdogo ana Maendeleo mazuri.. Mbeleni anaweza piku moja Record ya Bolt hasa kwenye 200m..
Alafu dogo hana makelele mengi
Alafu mguu mmoja kama mfupi hivi.
Inshu ni hayo mazoezi utayafanyia wapi? Inakupasa kuwa na viwanja na vipimo sahihi..hata hivyo inawezekana.Hivi jmn sie wabongo tumeshindwa hata kupeleka warusha mikuki kweli 😂
Kama ulicheki diving wale divers wa china men and women wote report zinaswma walichukuliwa toka wana miaka 7. Matokeo yake ndo perfomance zile walizotoa. Huku sisi hili swali kila msimu tunasema na hakuna kitu kinabadilika. Acha tiendelee shangilia tu🤣Hivi jmn sie wabongo tumeshindwa hata kupeleka warusha mikuki kweli 😂
Ss serikali si itafute vieanja, yn sie tumekazana tu na football wkt huku kuna michezo mingi tu ambayo ikiangaliwa kwa jicho la tatu tanaweza tukafanya vzrInshu ni hayo mazoezi utayafanyia wapi? Inakupasa kuwa na viwanja na vipimo sahihi..hata hivyo inawezekana.