Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Na masifa ya mmarekani nilijua tu tebogo alikua amepania na kudhamiria kwa 100% kuchukua gold..
Jamaa yenu hadi kakaaa chini kapata presha sjui, kaaambulia medali ya shaba ,[emoji23]
Nilifurahi Botswana kuchukua
 
Kamati ya Olimpiki Tanzania hawaja promoti michezo mingi, wamewekeza zaidi kwenye mbio hasa marathon. Kuna michezo kama kulenga shabaha, kurusha mkuki, mishale, weight lifting nk. Bahati nzuri siku hizi kila sehemu kuna gym, hawa mabaunsa wakifundishwa tunaweza kupata washiriki.
Wazo lako ni zuri sana, nimelipenda. Ni muda sasa wa Kamati ya Olympic Tanzania kuliona hilo na kulifanyia kazi. Hongera sana una upeo mkubwa/mzuri. Safi sana.
 
Jamaa simpendi, anajiskia sana, hata siku ya medali , mjamaika alikua anamshangaa, liko kama chizi, leo tebogo kamuonesha, kaishia kukaa kimya tu, hakuna cha kusevu energy mkuu, hizo mbio za final sijui ngoja tuone
Tebogo kachukua gold aiseee " Lyles is loud and arrogant" kwenye press conference ya tebogo jana atleast tebogo katufunza kutokata tamaaa omanyala nilikua namkubali sana sema ndo hvyo haikua ridhiki
 
Laana mkuu hio, ya kumuacha mkewe kwa dharau kubwa na kejeli sababu ni supastaa alivyoanza kua staa na kumchukua mwanamke mwingine
Nilisikia hii kwenye comment wanasema hilo laaana ya yf inamwandama
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba ni michezo miwili tu ndio washindi wanapewa zawadi ya pesa. Mbio na ngumi, na hiyo ni kuanzia mwaka huu. Michezo mingine washindi hulipwa na nchi zao na hakuna kiwango maalum
 
Kifupi kama nchi hatuna sera yoyote ya michezo ya kutupeleka Olympic ijayo
Watoto wanashindana kukaliri history na geos kuanzia asubuhi hadi jioni shuleni hakuna michezo tena
Umisseta na umitashumita ni mabonanza
 
Kitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba ni michezo miwili tu ndio washindi wanapewa zawadi ya pesa. Mbio na ngumi, na hiyo ni kuanzia mwaka huu. Michezo mingine washindi hulipwa na nchi zao na hakuna kiwanga maalum
Duu kwaiyo ni bure haya mashindano
 
Back
Top Bottom