Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Mtangazaji anasema katokea tzMjerumani huyu anaitwa Malaika Mihambo
View attachment 3064815
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji anasema katokea tzMjerumani huyu anaitwa Malaika Mihambo
View attachment 3064815
Na masifa ya mmarekani nilijua tu tebogo alikua amepania na kudhamiria kwa 100% kuchukua gold..Leslie Tebogo - Botswana
Bingwa mita 200
aiseee!Waweke mchezo wa uchawa na kutekana Olympic ijayo tushiriki
Nilifurahi Botswana kuchukuaNa masifa ya mmarekani nilijua tu tebogo alikua amepania na kudhamiria kwa 100% kuchukua gold..
Jamaa yenu hadi kakaaa chini kapata presha sjui, kaaambulia medali ya shaba ,[emoji23]
Wazo lako ni zuri sana, nimelipenda. Ni muda sasa wa Kamati ya Olympic Tanzania kuliona hilo na kulifanyia kazi. Hongera sana una upeo mkubwa/mzuri. Safi sana.Kamati ya Olimpiki Tanzania hawaja promoti michezo mingi, wamewekeza zaidi kwenye mbio hasa marathon. Kuna michezo kama kulenga shabaha, kurusha mkuki, mishale, weight lifting nk. Bahati nzuri siku hizi kila sehemu kuna gym, hawa mabaunsa wakifundishwa tunaweza kupata washiriki.
Tebogo kachukua gold aiseee " Lyles is loud and arrogant" kwenye press conference ya tebogo jana atleast tebogo katufunza kutokata tamaaa omanyala nilikua namkubali sana sema ndo hvyo haikua ridhikiJamaa simpendi, anajiskia sana, hata siku ya medali , mjamaika alikua anamshangaa, liko kama chizi, leo tebogo kamuonesha, kaishia kukaa kimya tu, hakuna cha kusevu energy mkuu, hizo mbio za final sijui ngoja tuone
Nilisikia hii kwenye comment wanasema hilo laaana ya yf inamwandamaLaana mkuu hio, ya kumuacha mkewe kwa dharau kubwa na kejeli sababu ni supastaa alivyoanza kua staa na kumchukua mwanamke mwingine
Tupo hapa10,000m wanawake
Kuna muitalia kwenye mbio Lorenzo ni kazaliwa Dodoma tena akaishi kabla ya kuondokaMjerumani huyu anaitwa Malaika Mihambo
View attachment 3064815
Naona Kenya kashindaHii 10km sio poa
Duu kwaiyo ni bure haya mashindanoKitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba ni michezo miwili tu ndio washindi wanapewa zawadi ya pesa. Mbio na ngumi, na hiyo ni kuanzia mwaka huu. Michezo mingine washindi hulipwa na nchi zao na hakuna kiwanga maalum
Kenya kachukua10,000m wanawake
Nipo makini kuona tunakuwa wa ngapiSaa tatu asubuhi
Marathon wanaume
Tanzania ndio tunaanza mashindano