daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
- Thread starter
- #321
MaumbileWanaoshinda kama wakenya na waafrika wengine wanawezaje mkuu...au wameumbwa tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaumbileWanaoshinda kama wakenya na waafrika wengine wanawezaje mkuu...au wameumbwa tofauti
USA kwa mbio wako vizuriGold battle team china kinachotupa wasiwasi ni gold za usa za riadha
Hawa madem wa jamaica wanaangusha stick ile dahTimu yangu Jamaica
USA kwa mbio wako vizuri
KabisaaGold battle team china kinachotupa wasiwasi ni gold za usa za riadha
acha tuoneKabisaa
MarekaniNani kashinda hii
Unaitwa sijui aqu nini sijuiJioni hii nikiwa sehemu napata mbili moto huku nikiangalia moja kati ya michezo ya Olympic,nimeshangaa sana!
Huo mchezo siufahamu jina ila ni kama acrobatic lakini unafanyikia ndani ya bwana la kuogelea.
Aisee binadamu tuna uwezo mkubwa sana..mabinti wanazamisha vichwa vyao ndani ya maji kwa dakika kadhaa huku wakichezesha viungo vya mwili kwa ustadi mkubwa kama nyangumi.
Both wanaume na wanawakeWanaume?
UsaNani kashinda hii
Kuna economist alisema developing countries zinakua taratibu sana hatutakuja fikia nchi zilizoendelea bali gap itaendelea kuwa kubwa na nilijisikia vibaya sana aliposema hivyo ila kwa kweli ukiangalia miji ya Paris na Versailles yalivyopangwa tangia miaka hio bila shaka unaona kwa ukuaji wetu huu hatutoboi karne hii wala ijayo. Unashindwa kabisa kubisha .Viunga vya jiji la Paris vimepangika si haba. Maeneo yaliplaniwa zaidi ya miaka 300 iliyopita, ila ukiyaangalia bado yanaendana na usasa.