Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mchezo ule wa kuning'inia kwenye kamba na kuanza kujizungusha(gymnastic) ulinivutia sana lakini sijaona hata mwafrika mmoja.wajapani na wachina wanajichukulia pesa kiurahisi tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mtanzania Shauri kawa wa 40 ila hongera kwake pia kumaliza maana na ile milima na miteremko sio masihara
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Olympic waanze kujumiisha michezo ya kiswahili kama kucheza bao na kula kashata labda tutashinda.

Ila kwa michezo serious kuanzia mpira, handball, basketball, volleyball ya nchi kavu na majini, kuogelea, sarakasi, kurusha mishale, kulenga shabaha, kutemba, kukimbia nk Tanzania hatuwezi.

Tanzania siasa nyingi sana.
 
kuna m-bhutan hapa yupo hpi ila kagoma kuacha anaendelea kukimbia mdogomdogo na bado hajavuka 40km check point
 
kuna m-bhutan hapa yupo hpi ila kagoma kuacha anaendelea kukimbia mdogomdogo na bado hajavuka 40km check point
Nimependa spirit yake hajagiveup no matter what.. kuna la kujifunza ktk maisha usigiveup ktk ndoto yako hata ukiwa wa mwisho
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nimependa spirit yake hajagiveup no matter what.. kuna la kujifunza ktk maisha usigiveup ktk ndoto yako hata ukiwa wa mwisho
Hili ni jambo la kuigwa. Hii ni motivation tosha. Nchi yake kama inawezekana iangalie namna yeyote ya kum-reward
 
M-bhutan kashavuka 40km checkpoint ila anatembea kwasasa kumalizia sehemu iliyobaki
 
Back
Top Bottom