Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
🤣🤣🤣Kuna michezo mingine haihitaji gharama kubwa za maandalizi. Imagine mchezo wa kutembea,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Kuna michezo mingine haihitaji gharama kubwa za maandalizi. Imagine mchezo wa kutembea,
Ukila ugali wa dona na dagaa itakuwa vigumu sana kukimbiaNa kudanganyana kula ugali wa Dona unanguvu. Hivyo ni vyakula vya mifugo huko Kwa washindi wa Olympic
Chuma cha kinetherlands , na mzaliwa wa ethiopia Sifan Hassan,Wako vizuri sana, alafu kuna hiki chuma cha kinetherlands Sifan Hassan
Hassan kachukua… Ethiopia wa pili, Kenya no 3Chuma cha kinetherlands , na mzaliwa wa ethiopia Sifan Hassan,
Yes wengi wana asili ya AfricaWskimbiaji wengi wamezaliwa africa hawa
Tunamsubiri mtanzania wetu sasaHassan kachukua… Ethiopia wa pili, Kenya no 3
Hakuna nchi wanakula ugali kama Kenya. Tanzania tunawazidi tu kwa sababu ya wingi wa watu ila kwa kula Ugali Kenya ni namba 1 Afrika. Wanapenda ugali balaa.Ukila ugali wa dona na dagaa itakuwa vigumu sana kukimbia
Unga imepanda sana🤣Hakuna nchi wanakula ugali kama Kenya. Tanzania tunawazidi tu kwa sababu ya wingi wa watu ila kwa kula Ugali Kenya ni namba 1 Afrika. Wanapenda ugali balaa.
Nimependa spirit yake hajagiveup no matter what.. kuna la kujifunza ktk maisha usigiveup ktk ndoto yako hata ukiwa wa mwishokuna m-bhutan hapa yupo hpi ila kagoma kuacha anaendelea kukimbia mdogomdogo na bado hajavuka 40km check point
Hili ni jambo la kuigwa. Hii ni motivation tosha. Nchi yake kama inawezekana iangalie namna yeyote ya kum-rewardNimependa spirit yake hajagiveup no matter what.. kuna la kujifunza ktk maisha usigiveup ktk ndoto yako hata ukiwa wa mwisho
Safi sana na bado anapigiwa makofiM-bhutan kashavuka 40km checkpoint ila anatembea kwasasa kumalizia sehemu iliyobaki
NAamSafi sana na bado anapigiwa makofi
Kapokelewa kama malkia 😂. Utafikiri yeye ndio mshindi.Safi sana na bado anapigiwa makofi
Amekusanya kijiji.Kapokelewa kama malkia 😂. Utafikiri yeye ndio mshindi.
Mtangazaji kamzungumzia Akwari wa Tanzania kwamba sikutumwa hapa kuanza mashindano, bali kuyamaliza.
Safi sana.