Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Amekusanya kijiji.
Kijiji sio kidogo. Kulikua na nyomi ya maana inamsapoti kutembea na kukimbia kisha akapokelewa kimalkia. Safi sana.

Ni somo tosha kwamba always keep you head up.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
tuanze kuwekeza kwenye facility za michezo. ikiwezekana mashuleni.
Viwanja vya michezo mashuleni vimeota nyasi na vichaka, watoto wanafungiwa madarasani usiku na mchana mpaka weekend wakitafuta thamani ya X; wengine waende wafaulu darasa zina; wengine waende shule za vipaji; wengine waondoe ziro; wengine wapate one wote, wengine shule iingie 10 bora kitaifa.
Too much academics!!!!
Je nwanao anasalimika hapo?
 
Elimu yetu sijui tulicopy wapi
 
China 40
USA 39
Karata kwa USA ni basketball wanawake baada ya kupoteza kwenye volleyball
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Habari wapenda michezo,

Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu

Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
kama ulikuwa kwenye kichwa changu unahoja cijui wanakwama wapi nimeshangaa sana aisee
 
Nigeria na wao wanaandamwa raia ni wengi ila wametoka bilabila olympic
 
Back
Top Bottom