Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa.
Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup.
Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa kufanyika siku moja? Kwa anayefahamu kwa undani kuhusu matukio haya mawili tunaomba atujuze.