Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Shalom shalom

Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.

Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao timu yao kiasi kikubwa ishatimia lakini inahitaji maboresho kidogo tu.

Timu hiyo ya Wachawi inawabobevu kutoka Morogoro(Turiani), Songwe (Mbozi), Sumbawanga (Namanyele), Tanga (Kabuku na Msisi), Kanda ya ziwa (Simiyu, Geita, Shinyanga na Ukerewe).

Kama kuna timu ya Washika dini naomba zije kwa mpangilio wa madhebu na dini au hata mshiriki mmoja mmoja wa kujitegemea anaruhusiwa

Utaratibu ni kuwa unarushiwa missile au kombora kutoka timu ya wachawi uwezo wako wa kudefense na kutopata madhara hitajika ndo utakua unapata points nyingi na kuwa karibu na ushindi

Kanuni za mashindano ni ikiwa imebainika mshindi kutoka timu ya washika dini ametumia nguvu za giza kuzuia missile basi atavulia ubingwa na kamati ya mashindano

Eneo la mashindano ni dar siku ni 7/2025 kuanzia saa 3 asubh hadi 10 jioni, Ukiwa unatoka mkoani usafiri upo bure kuja na kurudi kwenu
 
1756570899017.jpg
 
Msimpambanishe Mungu na uchawi. Wachawi walishindwa tangu enzi za farao na musa. Manina kuna mchawi mmoja alijinasibu kwamba ana nguvu kuliko nguvu za Mungu Roho wa Bwana alinishukia nikamgaragaza kwa maombi na kukemea na kunena kwa lugha, hadi leo mtu yule hayuko sawa. Wacha Mungu aitwe Mungu.
 
Unabidi uje tuone kama usemayo yana ukwel sio kujisifu nyuma ya keyboard
 
Shalom shalom

Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.

Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao timu yao kiasi kikubwa ishatimia lakini inahitaji maboresho kidogo tu.

Timu hiyo ya Wachawi inawabobevu kutoka Morogoro(Turiani), Songwe (Mbozi), Sumbawanga (Namanyele), Tanga (Kabuku na Msisi), Kanda ya ziwa (Simiyu, Geita, Shinyanga na Ukerewe).

Kama kuna timu ya Washika dini naomba zije kwa mpangilio wa madhebu na dini au hata mshiriki mmoja mmoja wa kujitegemea anaruhusiwa

Utaratibu ni kuwa unarushiwa missile au kombora kutoka timu ya wachawi uwezo wako wa kudefense na kutopata madhara hitajika ndo utakua unapata points nyingi na kuwa karibu na ushindi

Kanuni za mashindano ni ikiwa imebainika mshindi kutoka timu ya washika dini ametumia nguvu za giza kuzuia missile basi atavulia ubingwa na kamati ya mashindano

Eneo la mashindano ni dar siku ni 7/2025 kuanzia saa 3 asubh hadi 10 jioni, Ukiwa unatoka mkoani usafiri upo bure kuja na kurudi kwenu
Imeandikwa "usimjaribu Bwana Mungu wako....".
Kama wachawi watakuwa wanarusha makombora kwa watu wa Mungu, hao watu wa Mungu watakuwa wanarusha nini kwa wachawi au wao ni kukwepa tuu? Sasa hayo ni mashindano gani?
 
Back
Top Bottom