TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Wee kibabu ni noma aiseeMimi nitashiriki upande wa dini japo kama sheria zikiruhusu nitashiriki kote

Karibu kwenye mashindanoSema nikuombee hapa sahivi uone uchawi sio kitu alafu uje utupe mrejesho kwa kile kitakacho kupata
Kazi ni kukwepa tuImeandikwa "usimjaribu Bwana Mungu wako....".
Kama wachawi watakuwa wanarusha makombora kwa watu wa Mungu, hao watu wa Mungu watakuwa wanarusha nini kwa wachawi au wao ni kukwepa tuu? Sasa hayo ni mashindano gani?
Mkuu siku 7/2025 ndiyo lini hiyo?Shalom shalom
Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.
Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao timu yao kiasi kikubwa ishatimia lakini inahitaji maboresho kidogo tu.
Timu hiyo ya Wachawi inawabobevu kutoka Morogoro(Turiani), Songwe (Mbozi), Sumbawanga (Namanyele), Tanga (Kabuku na Msisi), Kanda ya ziwa (Simiyu, Geita, Shinyanga na Ukerewe).
Kama kuna timu ya Washika dini naomba zije kwa mpangilio wa madhebu na dini au hata mshiriki mmoja mmoja wa kujitegemea anaruhusiwa
Utaratibu ni kuwa unarushiwa missile au kombora kutoka timu ya wachawi uwezo wako wa kudefense na kutopata madhara hitajika ndo utakua unapata points nyingi na kuwa karibu na ushindi
Kanuni za mashindano ni ikiwa imebainika mshindi kutoka timu ya washika dini ametumia nguvu za giza kuzuia missile basi atavulia ubingwa na kamati ya mashindano
Eneo la mashindano ni dar siku ni 7/2025 kuanzia saa 3 asubh hadi 10 jioni, Ukiwa unatoka mkoani usafiri upo bure kuja na kurudi kwenu
Mimi siji kwasababu nyie hamjielewi bado, tufanye nikuombee sahivi ili utambue kuwa mungu ndio mkuu umgeukie yeye kama lolote baya likikukuta.Karibu kwenye mashindano
Pamoja mkuu umeeleweka. Mimi ni mpagani,je naweza kushiriki pia?7/9/2025
Typing error
Watu wa Bariadi maeneo kama Gamboshi hawakufuzu kwenye kinyang'anyiro hiki?Shalom shalom
Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.
Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao timu yao kiasi kikubwa ishatimia lakini inahitaji maboresho kidogo tu.
Timu hiyo ya Wachawi inawabobevu kutoka Morogoro(Turiani), Songwe (Mbozi), Sumbawanga (Namanyele), Tanga (Kabuku na Msisi), Kanda ya ziwa (Simiyu, Geita, Shinyanga na Ukerewe).
Kama kuna timu ya Washika dini naomba zije kwa mpangilio wa madhebu na dini au hata mshiriki mmoja mmoja wa kujitegemea anaruhusiwa
Utaratibu ni kuwa unarushiwa missile au kombora kutoka timu ya wachawi uwezo wako wa kudefense na kutopata madhara hitajika ndo utakua unapata points nyingi na kuwa karibu na ushindi
Kanuni za mashindano ni ikiwa imebainika mshindi kutoka timu ya washika dini ametumia nguvu za giza kuzuia missile basi atavulia ubingwa na kamati ya mashindano
Eneo la mashindano ni dar siku ni 7/2025 kuanzia saa 3 asubh hadi 10 jioni, Ukiwa unatoka mkoani usafiri upo bure kuja na kurudi kwenu
Ukiendelea kumchezea Mungu nitaanza na wewe hapo ulipo. Nikiomba tu hapa huko wewe unachanganyikiwa. Mungu ana nguvu sana hakika.Unabidi uje tuone kama usemayo yana ukwel sio kujisifu nyuma ya keyboard
Kaka chagua upande 😁😁niko tayari kuwa shabiki
Likiwa mbashara litafana sanaShindano litakuwa mbashara?
Kwanini wachawi wa Kigoma hawapo kwenye shindano mmmh au hawajafuzu kwenye mchujo?
Mimi siamini kwenye dini wala uchawi.