Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Sheria hairuhusu iloMimi nitashiriki upande wa dini japo kama sheria zikiruhusu nitashiriki kote
OK basi nitashiriki chaguo la kwanzaSheria hairuhusu ilo
Karibu sana mkuuOK basi nitashiriki chaguo la kwanza
Shindano ni JIPYA nazan msimu wa pili dau litasogea kidogo hata 2mfanyeni million 10
Nilikosaga kibali enzi za jiweKaribu sana mkuu
makusudi ya shindano ni nini ?Shindano ni JIPYA nazan msimu wa pili dau litasogea kidogo hata 2m
Kusaka vipajimakusudi ya shindano ni nini ?
Kuna utofauti mkubwa kati ya uchawi na vipaji ni kwa vile unaelimu ndogo sana ndio maana huelewi unafanya vitu ganiKusaka vipaji
Uchawi ni kipaji kama vipaji vingne maana kuna kuzidianaKuna utofauti mkubwa kati ya uchawi na vipaji ni kwa vile unaelimu ndogo sana ndio maana huelewi unafanya vitu gani
Unabidi uje tuone kama usemayo yana ukwel sio kujisifu nyuma ya keyboardMsimpambanishe Mungu na uchawi. Wachawi walishindwa tangu enzi za farao na musa. Manina kuna mchawi mmoja alijinasibu kwamba ana nguvu kuliko nguvu za Mungu Roho wa Bwana alinishukia nikamgaragaza kwa maombi na kukemea na kunena kwa lugha, hadi leo mtu yule hayuko sawa. Wacha Mungu aitwe Mungu.
Sema nikuombee hapa sahivi uone uchawi sio kitu alafu uje utupe mrejesho kwa kile kitakacho kupataUnabidi uje tuone kama usemayo yana ukwel sio kujisifu nyuma ya keyboard
Imeandikwa "usimjaribu Bwana Mungu wako....".Shalom shalom
Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.
Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao timu yao kiasi kikubwa ishatimia lakini inahitaji maboresho kidogo tu.
Timu hiyo ya Wachawi inawabobevu kutoka Morogoro(Turiani), Songwe (Mbozi), Sumbawanga (Namanyele), Tanga (Kabuku na Msisi), Kanda ya ziwa (Simiyu, Geita, Shinyanga na Ukerewe).
Kama kuna timu ya Washika dini naomba zije kwa mpangilio wa madhebu na dini au hata mshiriki mmoja mmoja wa kujitegemea anaruhusiwa
Utaratibu ni kuwa unarushiwa missile au kombora kutoka timu ya wachawi uwezo wako wa kudefense na kutopata madhara hitajika ndo utakua unapata points nyingi na kuwa karibu na ushindi
Kanuni za mashindano ni ikiwa imebainika mshindi kutoka timu ya washika dini ametumia nguvu za giza kuzuia missile basi atavulia ubingwa na kamati ya mashindano
Eneo la mashindano ni dar siku ni 7/2025 kuanzia saa 3 asubh hadi 10 jioni, Ukiwa unatoka mkoani usafiri upo bure kuja na kurudi kwenu