The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu.
Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya muziki inavyogeuzwageuzwa, ni kama kuna namna wananchi wananogewa na mziki wao.
Nimefikia kufikiri hivi baada ya kuona vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia vyote isipokuwa Tanzania daima vinashabikia maridhiano.
Kwa msingi huo inabidi chadema wajikaze na kujitahidi kupinga Kwa nguvu zoote Kila mpango unaoletwa ili kupitia mgongo huo wajipambanue kwamba wao wako tofauti.
Sio hivyo tu hio hali ya kutokubaliana na kila kitu itaondoa Ile dhana kwamba wanalamba asali. Zaidi ya hilo unapopambana na mtu mashuhuri ni dhahiri na wewe unaongelewa kusomwa au kutazamwa.
Nimeangalia hata press wanazoitisha hivi karibuni ni kama zinadoda flani hivi, Kwa hiyo wanatakiwa wajitahidi kujitokeza kujibujibu tu ili wavute usikivu Kwa watu.
Vinginevyo naiona chadema kwenye mazingira magumu sana ya kisiasa hapa nchini.