Mashine inayopumulia CHADEMA kwa sasa ni kupinga kila kitu kwa sauti kubwa bila hivyo itapotea

Sijasema itakufa nacho sema ina hali mbaya tatizo humu mitandaoni na hasa jf Kuna wafia vyama wa kiwango cha sgr hawataki kusikia chochote kinachokosoa chama chao.

Nadhani ungeanza na kuishauri serikali ianze kuruhusu mikutano ya siasa. Huwezi kusema CHADEMA Ina hali mbaya wakati umeizuia kufanya siasa miaka Saba Sasa.
 
Mkuu,bkutokana na gonjwa la UKIA (Upungufu wa Kinga Akilini) kwa wale wote wenye kuathirika nalo wataona hoja yako ina makini na yenye mantiki. Pole sana, kwa kuwa ukweli ni kuwa ulichokiandika si sahihi na kinakosa uhalisia.
 
wait until the play ground is even. Haina maana na ni ujinga wa kiwango cha PhD kuzodoa chama ambacho hata watawala wanaogopa kukiruhusu kufanya mikutano na vikao vya ndani.

Ungeanza kuhoji hiyo marufuku kwa nini isiondolewe maana ni kinyume cha katiba. Ndipo ungeona ikiwa chadema haina ajenda au la
 
Mikutano ya kisiasa inayoanza mwezi ujao itatoa jibu la kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…