[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
Mwenye kujua bei ya hizo mashine za EFD basi atuhabarishe na sisi wengine tupate faida na si mtu kutengeneza mazingira ya kufuatwa pm
Nimekosea ni 750,000/=Softnet tunauza 750,mashine nzuri
TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.
Hicho unachosema kilikuwepo ila sio sasa. Nenda ukaulize vizuri utaratibu wa sasa. Ingekuwa wanazigawa bure basi kila mfanyabiashara angekuwa na kimashine.TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.