SOFTWARE Mashine ya EFD inatafutwa

SOFTWARE Mashine ya EFD inatafutwa

Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Mwenye kujua bei ya hizo mashine za EFD basi atuhabarishe na sisi wengine tupate faida na si mtu kutengeneza mazingira ya kufuatwa pm
 
00261475+159806b30ac3ae362ed271c2acd28b5b+arc614x376+w614+us1.jpg
logo.png

Kwa mawasiliano nicheki kupia no.0625 567 408
 
Hii mashine ni aina ya perfect ni nzuri sana ina-operate 48 hrs bila kuhitaji kuchajiwa
 
Wewe afisa wa TRA?

Maque nenda TRA, achana na wababaishaji, huko utapata mbichi na mbivu.

TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.
 
Ndiyo aende huko, ulisikia wapi mashine za EFD zinauzwa second hand au kutoka kwa mtu mkononi kama atakavyo mleta mada? Aende TRA akafanyiwe mambo yake rasmi.
 
TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.
Hicho unachosema kilikuwepo ila sio sasa. Nenda ukaulize vizuri utaratibu wa sasa. Ingekuwa wanazigawa bure basi kila mfanyabiashara angekuwa na kimashine.

Phase 1 iliyoanza mwaka 2009/2010 ndio mlipa kodi alikuwa anarudishiwa gharama za kununulia mashine kwa mfumo wa makato kwenye kodi yake.

Phase 2 iliyoanza mwaka 2013 mwezi july hadi sasa haijahusisha kumrudishia mlipa kodi gharama za mashine.

Mwaka 2016 TRA walitangaza zoezi la utoaji EFD bure na kusema litaanza Jijini Dar kwa mwezi mmoja kila mkoa, ambapo lilifanyika mwezi wa sita - june . Dar lilifanyika na sasa limekwisha na mikoani bado.

Kwa maswali zaidi fika TRA kitengo cha EFD.
 
Back
Top Bottom