INAUZWA Mashine ya kuchana mbao

Yes hii unatengeneza wewe zote ? Nikitaka kufungua karakana mbao nifanye kila kitu ......machine zipi ???
Hapo karakana utahitaji ya kuchana,kuranda,kutoboa,kukereza,spindle na ya kutoboa mkuu hapo umemaliza weka mzigo tuu, hapo 20,000,000 nakutengenezea zote
 
Hapo karakana utahitaji ya kuchana,kuranda,kutoboa,kukereza,spindle na ya kutoboa mkuu hapo umemaliza weka mzigo tuu, hapo 20,000,000 nakutengenezea zote
Acha nije .....tuyajenge
 
Miongoni mwa matangazo bora kabisa jf. Lina details zote na maswali yanajibiwa in detail and on time. Bro umewahi kuishi kwa walami huko?

Maana kiswahiliswahili watu wangeuliza hadi wachoke without any reply. Hongera sana.
 
Asa nte broo
 
Inatumia umeme tu au na dizel/petrol?
Inategemea na mahitaji ya mtumiaji kwa hizi tunazotengeneza ni za umeme za mafuta itapanda sababu gharama injini ya mafuta ndio itapelekea gharama yake
 
Hii
10,000,000/
Inachana
Inaranda
Inasafisha
Inatoboa
 
Attachments

  • Screenshot_20230105-101507_Instagram.jpg
    92.4 KB · Views: 33
Hatua kwa hatua tutengeneza spindle mashine ina piga pannel za milango, inatoa ribet, ina chimba groove na inatoboa
 
Project mpya hii ni mashine spindle
Inapiga pannel
inatoa ribeti
Inatoa groove
Inatoboa
 
Attachments

  • 20230216_191015.jpg
    848 KB · Views: 25
  • 20230216_190951.jpg
    1 MB · Views: 22
  • 20230216_191006.jpg
    905.5 KB · Views: 25
Miongoni mwa matangazo bora kabisa jf. Lina details zote na maswali yanajibiwa in detail and on time. Bro umewahi kuishi kwa walami huko?

Maana kiswahiliswahili watu wangeuliza hadi wachoke without any reply. Hongera sana.
Naunga mkono hoja, jamaa ana akili. Possibly hata products zake ni bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…