Hapana What
Senior Member
- Dec 24, 2017
- 131
- 53
- Thread starter
- #21
Hapo karakana utahitaji ya kuchana,kuranda,kutoboa,kukereza,spindle na ya kutoboa mkuu hapo umemaliza weka mzigo tuu, hapo 20,000,000 nakutengenezea zoteYes hii unatengeneza wewe zote ? Nikitaka kufungua karakana mbao nifanye kila kitu ......machine zipi ???