deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 419
Habari wadau,
Tunahitaji sehem tunayoweza kukodisha mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mlima na mawe/mwamba, nafikiri zinaitwa Scarveter (sina uhakika na jina na spelling). Kampuni iwe ya Moshi Mjini (ili kukwepa gharama kubwa za kusafirisha machine)
Eneo la kazi ni Kilimanjaro - Moshi vijijini eneo la karibu na Kinapa Offices (Mweka Route)
Kipande cha kufanyia kazi kina umbali walau wa mita 50-60 (approx.) na ni mwamba laini.
Sisi tunaomobilize hii kazi tuko Dar es Salaam hivyo mtu/kampuni inayoweza kutukodishia hiyo mashine tutawalink na viongozi wa mradi walioko Moshi na ndio watawapeleka eneo la kazi kufanya survey pamoja na mambo yote.
Mtu/kampuni inayoweza kufanya hii kazi nitumie contacts zenu pm tuwasiliane.