Mashine ya kuchimba barabara inahitajika.

deonova

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
742
Reaction score
419
Habari wadau,
Tunahitaji sehem tunayoweza kukodisha mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mlima na mawe/mwamba, nafikiri zinaitwa Scarveter (sina uhakika na jina na spelling). Kampuni iwe ya Moshi Mjini (ili kukwepa gharama kubwa za kusafirisha machine)
Eneo la kazi ni Kilimanjaro - Moshi vijijini eneo la karibu na Kinapa Offices (Mweka Route)
Kipande cha kufanyia kazi kina umbali walau wa mita 50-60 (approx.) na ni mwamba laini.
Sisi tunaomobilize hii kazi tuko Dar es Salaam hivyo mtu/kampuni inayoweza kutukodishia hiyo mashine tutawalink na viongozi wa mradi walioko Moshi na ndio watawapeleka eneo la kazi kufanya survey pamoja na mambo yote.
Mtu/kampuni inayoweza kufanya hii kazi nitumie contacts zenu pm tuwasiliane.
 
Inaitwa excavator.
Pia bulldozer inaweza kuwa muafaka, kutegemea na mazingira na aina ya uchimbaji.
Kwa nini msiwasiliane na makandarasi wa Moshi? The likes of Kambaita, Hari Sigh?

Thanks kwa kunisahihisha jina comrade, tunaepuka kurudia makosa maana ktk hatua za awali za uchimbaji wa hiyo barabara kuna kampuni tuliikodisha (iko karibu na Kahawa house pale opposite na zilipokuwa office za Dar express), wale jamaa walitusumbua sana na gharama zao ni too expensive, tumemalizana nao kwa portion tuliyokuwa tumekubaliana, sasa hiki kipande cha mlima ndo tunataka kutafuta kampun ingine yenye gharama nafuu na mashine reliable.
Topograph ya hiki kipande ni mlima kidogo, upande mmoja ni mto na upande wa pili/eneo la kuchimba limeinuka sana so tutahitaji excavator lenye mkono mrefu na waweze kutufanyia drilling ya huo mwamba usambaratike njia ifunguke (ni mwamba laini)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Habari wadau,
Tunahitaji sehem tunayoweza kukodisha mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mlima na mawe/mwamba, nafikiri zinaitwa Scarveter (sina uhakika na jina na spelling). Kampuni iwe ya Moshi Mjini (ili kukwepa gharama kubwa za kusafirisha machine)
Eneo la kazi ni Kilimanjaro - Moshi vijijini eneo la karibu na Kinapa Offices (Mweka Route)
Kipande cha kufanyia kazi kina umbali walau wa mita 50-60 (approx.) na ni mwamba laini.
Sisi tunaomobilize hii kazi tuko Dar es Salaam hivyo mtu/kampuni inayoweza kutukodishia hiyo mashine tutawalink na viongozi wa mradi walioko Moshi na ndio watawapeleka eneo la kazi kufanya survey pamoja na mambo yote.
Mtu/kampuni inayoweza kufanya hii kazi nitumie contacts zenu pm tuwasiliane.

Piga 0786000038 kampuni ya KukuNzito ipo Moshi mjini wana kodisha excavator na machine nyingine kama bull dozer, motor grader. KukuNzito |
 
Ok mkuu asante sana, ngoja nicheck nao then ntakupa feedback.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Naomba nilete mrejesho, mkuu okwili nimeufanyia kazi ushauri wako na nimewasiliana na hiyo #KukuNzito .
Ilikuwa kama coincidence maana kumbe na kamati yetu ya kule Moshi ktk pita pita zao kutafuta kampuni ya kufanya kazi hii walipita pia kwenye hii kampuni na zingine kama Khambhaita na Rocktronic.
Mimi nimeongea na hawa Kuku Nzito kwenye simu na kamati yetu wamenipa gharama za hzo kampun zingine, kidogo hii Kuku Nzito tunaweza kumudu gharama zao na tuko underway kuwafuata next week waka-survey eneo la kazi then kazi ifanyike.
Long live JF, be blessed okwili na wadau wote mlioshauri.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom