Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

Wakuu,

Ninatafuta mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Kama unafahamu inapatikana wapi nakuomba unielekeze. Preferably ndani ya mipaka ya Dar es Salaam.

Natanguliza shukrani.

Habari Mkuu.
Vipi ulifanikiwa??
 
Wadau kwa wastani hii mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa Sh ngapi?
 
Wadau kwa wastani hii mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa Sh ngapi?
Inategemea mkuu, za mkono kuanzia laki mbili mpaka 5, za umeme kwa upande wa sido ni tsh 1m mpaka 1.5,zinazotoka nje ya nchi zinagharimu kuanzia 1.6 mpaka milion 8. Kazi kwako mkuu
 
Mkuu asante kwa Taarifa. Unaulizia kwa Dar naweza kupata Duka gani?
Au mpaka za kuagizia?
Nenda pale mobile plaza,jengo linalofuatia wanazo za kichina au hapa shekilango kwenye hayo maduka ya NSSf ingia ndani mle kuna kampuni inauza mashine za kila aina ikiwemo za miwa
 
Nenda pale mobile plaza,jengo linalofuatia wanazo za kichina au hapa shekilango kwenye hayo maduka ya NSSf ingia ndani mle kuna kampuni inauza mashine za kila aina ikiwemo za miwa

Mkuu Asante sana. Mungu akubariki.
 
Afikirie pia teknolojia nzuri na rahisi ya kusindika... vinginevyo juisi itageuka Kiroba Orijino...!!!
Hahaha juice ya miwa ni nzuri pale inapotengenezwa hapo hapo na kunywewa hapo hapo
 
Inategemea mkuu, za mkono kuanzia laki mbili mpaka 5, za umeme kwa upande wa sido ni tsh 1m mpaka 1.5,zinazotoka nje ya nchi zinagharimu kuanzia 1.6 mpaka milion 8. Kazi kwako mkuu
Shukrani sana kiongozi
 
Za mapambano je bado unaweza kuleta mashine za juice za miwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…