Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mkono pia umeme
Mkuu naitaji hii
Mua mmoja hutoa lita ngapi ya juyce?
Ya mkono 600000
Nenda shekilango ndio za china zipo
Nikiitaji kutoka china moja kwa moja je ntawapataje mawakala wao kwa hapa tz,
mm ninayo ya india original 2M
Wakuu, watu wengi wamekuwa wakiziulizia mashine za miwa, mimi niliwahi kuzileta hizi kama picha zinavyoonesha. Hizi zinatumia umeme kidogo ,ni portable na ni modern na ni "roho ya paka" zinapiga mzigo balaa ila wateja wengi wa kitanzania wanapenda vitu vya bei rahisi. ZILINISUMBUA SANA kuuza tena sana mpaka mwisho nikaziuza kwa bei ya hasara(nilirudisha hela yangu tu bila faida) tena hapa hapa jf. Walionunua hawajuti mpaka leo!
Watanzania wengi ukiwaambia bidhaa imetoka china basi anajua ni bei rahisi na atataka bei rahisi. Mashine ya kawaida kabisa SIDO wanauza mpaka 1.2 M na hazina ubora na uimara kama hizi. Bado mteja wa tanzania anakwambia akupe laki 4 kwa mashine hii uliyosafirisha!!! Daah!! Tena king'ang'anizi anakusumbua kweli!
Mimi naweza kumletea mtu mpka bongo lakini with condition kwamba anipe advance 1/2 ya gharama ndio nimletee! Otherwise sitaki headache kama ya wakati ule