sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Dah mkuu... Na hii ni tetesi???????????? Au umekosea hedingi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine ya kukamulia JUICE ya Miwa naiuza.
Haitumii umeme
Uzito 180kg
Iko katika hali nzuri
Inatumia GearBox
Sababu ya kuiuza ni Kubadili biashara.
Bei ni 650,000Tsh.
Call 0716 421233 If Interested
Mkuu unakuaga nazo hizi mashine unazouza?
Nenda veta wana bei nafuu.. kwa veta changombe dar wanatengeneza kwa laki 8
Nenda veta wana bei nafuu.. kwa veta changombe dar wanatengeneza kwa laki 8
Mkuu ninayo ya umeme modern,portable,bei poa sana,njoo pm tufanye biashara
Mkuu ninayo ya umeme modern,portable,bei poa sana,njoo pm tufanye biashara
Mpole kweli huyu kijana, jamani mwenye kujua amsaidie
Wapendwa wana jamii, Poleni na majukumu.
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata hizi machine za kukamua juice ya miwa na bei zake tafadhari, nafikiria kuanza huo mradi nikiipata hiyo machine kama Mungu akinijaalia.
Asanteni.