Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

Mashine ya kukamulia JUICE ya Miwa naiuza.
Haitumii umeme
Uzito 180kg
Iko katika hali nzuri
Inatumia GearBox

Sababu ya kuiuza ni Kubadili biashara.

Bei ni 650,000Tsh.
Call 0716 421233 If Interested

kuna 350000 kama freshi nikutafute
 
Wanajamvi, poleni kwa shughuli zenu mfanyazo kila siku ili kujiletea kipato. Kutokana na kipato kidogo nilichonacho naitaji kuuza juisi ya miwa mjini. Issue kubwa ni jinsi ya kupata mashine ya kukamua miwa na gharama zake.

Kwa yeyote anayejua ni wapi naweza kupata, aina (specifications) zake pamoja na gharama zake anisaidie.

Natokea Njombe wadau!!
 
Nenda sido ndio wanazitengeneza kulingana na uwezo wa mfuko wako. Nilisha ulizia sido Arusha mwaka 2011 ilikiwa kati ya milioni moja na milioni moja na laki tano. Kwa sasa hivi sijui.
 
Nafikiri jibu limepatikana; ila zipo hata za wachina.
 
Nenda veta wana bei nafuu.. kwa veta changombe dar wanatengeneza kwa laki 8
 
Mkuu ninayo ya umeme modern,portable,bei poa sana,njoo pm tufanye biashara
 
Wapendwa wana jamii, Poleni na majukumu.

Naomba mwenye kujua wapi naweza pata hizi machine za kukamua juice ya miwa na bei zake tafadhari, nafikiria kuanza huo mradi nikiipata hiyo machine kama Mungu akinijaalia.

Asanteni.
 
Jaribu kufuatilia kwenye mitandao mkuu.
Utapata tu.
Anza na google kisha endelea.
Am sure China lazima zipo. Au the simplest source ni kuuliza wale wanaouza hizo juice juu ya upatikanaji wa hizo mashine.
Watakwambia.
Ungekuwepo saba saba ungepata source kadha wa kadha.
 
Wapendwa wana jamii, Poleni na majukumu.
Naomba mwenye kujua wapi naweza pata hizi machine za kukamua juice ya miwa na bei zake tafadhari, nafikiria kuanza huo mradi nikiipata hiyo machine kama Mungu akinijaalia.
Asanteni.

Nipigie 0715873971 ninayo tens IPO safi nitumie na ya whatssap
 
Back
Top Bottom