Angehatarisha usalama wa chombo chake, tani 70 sio mchezo ikae upande mmoja na haijulikani ingekaa hivo Kwa muda ganiSasa huyo dereva wa kivuko kwa nini aiamua kuondoa meli ili machine idumbukie kabisa?
View attachment 1797848
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine hiyo yenye uzito wa takribani tani 70 iliwasili kwa meli katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea visiwa vya Songosongo na ilikuwa ikishushwa katika eneo la Gati la Malindi. Zoezi la kuiopoa mashine hiyo linaendelea.
View attachment 1797847
Credit: Le Mutuz TV
Hujuma?
Nowadays hakuna tena natural disasters au Ajali?Mama anazidi 'kukaribishwa' mjini
Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!
Karibu Nyumbani kumenoga!
Nowadays hakuna tena natural disasters au Ajali?
Kazi inaendeleaMama anazidi 'kukaribishwa' mjini
Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!
Karibu Nyumbani kumenoga!A
DuuhNaona kuna uzembe hapo
Kazi inaendeleaMama anazidi 'kukaribishwa' mjini
Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!
Karibu Nyumbani kumenoga!A
Uwoni ni Free Movement ya chombo majini hapoSasa huyo dereva wa kivuko kwa nini aiamua kuondoa meli ili machine idumbukie kabisa?