Mbona sasa umeweza kuandika sentensi kadhaa za mawazo yako bila ya kutukana?Acha majungu kwa Rais,
Mtake msitake Samia ndio Rais kwasasa!, Mumpende au musimpende,yeye ndio amir jeshi mkuu kwasasa, Mwendazake kashajiua hatorudi Tena,,
Maana kutokuchukua tahadhali kwa jambo la hatari hadi likachukua uhai wako,, Ni sawa tu na umejiua mwenyewe"
Achana na tabia ya kutukana maana haithibitishi ujanja ulionao wala msimamo thabiti kwa Rais,
Rais mwenyewe ana incourage mawazo huru sasa Wewe unakuaje Mfuasi wake halafu hukubali msimamo wake?
Waachie hiyo tabia watu wa Instagram na Facebook
Humu tunapingana kwa lugha ya kistaarabu na tukishindwana tunabaki na msinamo wake kila mtu