Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

Duh kweli hawa wazembe!!! Imetumbukiaje? Hii si hasara?
 
Hiyo kazi angepewa white isingetumbukia, mswahili anakufanyia kazi shingo upande na dharau juu.. ..in short hana uchungu na mali ya mtu, isipokua wachache wanaojitambua. Nimefanya kazi na waswahili, anakuharibia gari yako, wewe tajiri unahangaika kutafuta spea yeye hana time na wewe, n still anakuteta pembeni. Nyambafu kabisa.. ..


🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Kwa nini wameshusha kuelekea majini, ina maana kuna uhaba wa nchi kavu hapo? hao washushaji wanazo akili timamu? utasikia wanasema ilikuwa bahati mbaya.......ingekuwa china hujapigwa kitanzi?
 
Kwa nini wameshusha kuelekea majini, ina maana kuna uhaba wa nchi kavu hapo? hao washushaji wanazo akili timamu? utasikia wanasema ilikuwa bahati mbaya.......ingekuwa china hujapigwa kitanzi?

Wamempa hasara tajiri, mwisho wa siku utasikia wanamkimbia na kumwachia mashine yake akiihangaikia kuitoa.. ..very sad!



🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Kwaiyo wakati wa utawala wa dikteta zuzu kulikuwa hakuna majanga yaliyokuwa yanatokea chizi wewe,,

Ivi dikteta ameshika akili zenu,,

Ile ajali ya Roli la mafuta morogoro lilitokea wakati wa awamu ya bwana ako au????? M))theng___e. (wewe)
Basi tusema ajali ya kawaida kama ilivyotokea kwny Luku kwa siku 3
 
Basi tusema ajali ya kawaida kama ilivyotokea kwny Luku kwa siku 3
kwanni isiwe kwenye kuadimika kwa sukari hadi ikawa inatafutwa kwa tochi na mabunduki kwenye magodown ya wafanyabiashara, na baada ya hapo ikapanda bei hadi leo,kutoka #Tsh.1800/= hadi Tsh.2900/=✓ kwasasa??!!

au dikteta alikuwa malaika??;;

Dikteta aliharibu hii nchi, ,

Bora madam Samia aongoze nchi hadi 2050 ili tupumue
 
Acha majungu kwa Rais,
Mtake msitake Samia ndio Rais kwasasa!, Mumpende au musimpende,yeye ndio amir jeshi mkuu kwasasa, Mwendazake kashajiua hatorudi Tena,,
Maana kutokuchukua tahadhali kwa jambo la hatari hadi likachukua uhai wako,, Ni sawa tu na umejiua mwenyewe"
 
kilichonifurahisha ni chanzo cha taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…