Tunalowanisha [emoji23][emoji23][emoji23] haki nmecheka mnoMama anazidi 'kukaribishwa' mjini
Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!
Karibu Nyumbani kumenoga!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isitudondokee tu huku buzaTunakuolekea hata ndege itakuja kudondoka airport
Yaani ni full uzembe tu...!!!View attachment 1797848
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Mashine hiyo yenye uzito wa takribani tani 70 iliwasili kwa meli katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea visiwa vya Songosongo na ilikuwa ikishushwa katika eneo la Gati la Malindi. Zoezi la kuiopoa mashine hiyo linaendelea.
View attachment 1797847
Credit: Le Mutuz
Huyo anayemwajiri mtangazaji mwenye tatizo hilo naye pia hajielewi!!Bahalini.. mtangazaji ana shida ya matamshi ya L na R halafu wanaongezeka sana watu wenye hii shida.
Siyo hawamu na wewe ni awamu. mnaharibu kiswahili jamani!!Mpaka kikiopolewa utasikia ni bilioni 10 zimetumika,hii ni hawamu ya upigaji.
Tuna ubabaishaji mwingi mnoMamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Ni halafu sio "alafu" mkuu.Hata humu tu comments kibao zina shida...cheki utaona...alafu wanajiita "wathomi!"
Kuna mshine kama hizo 5 zilizama hapo kipindi cha jiwe ila taarifa zikafichwa!hujuma tena. naona mambo yameanza kufanyika kiholela holela au ni kwamba taarifa za mambo kama haya zilikuwa zinafichwa?
Ona sasa!Hujuma ya wazi kabisa. Mama Samia ana kazi sana bila kupangusa kabisa wale wa Mwendazake ataonekana hatoshi kwenye hicho cheo
Mataga na sukuma gang wanakomolewa mkuu!Hii meli ndogo aina ya RO-RO ingeweza kuteremsha hii crane ktk kivuko / gati ya Ferry Kigamboni / Magogoni ktk rasi ya Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa usalama kabisa.
Sasa hii ajali ina maana gati hiyo bandarini Dar es Salaam haitaweza kufanya kazi kwa muda mpaka waweze kuibua hiyo crane, hivyo kuitia hasara na kuleta msongamano wa meli zikisubiri kupaki ktk gati chache.
Labda wanataka bima ilipeSasa huyo dereva wa kivuko kwa nini aiamua kuondoa meli ili machine idumbukie kabisa?
Same 3 me!.same 2 me