cartura
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,026
- 789
sizunguki na kandambili mie.....
jeez! this is so interesting... i like the transparency
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sizunguki na kandambili mie.....
jeez! kazi ipo aisee...
ipo mara kidogo???unadhania kuna mwanamke asiyependa maziwa yake yabaki saaa sita,.....nature is soo cruel ila ndio hivyo life lazima lisonge!!!!!
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............
cartura...... moja ya sababu ya mwanamke kupendeza ni kumvutia mwanaume lol.
maskini weesasa mlitegemea kama yameanguka,tutembee hivyo hivyo na kandambili zetu???.....nayapiga jeki na wonder bra ...ukinifunua ukikuta sivyo ulivyotegemea,uamuzi ni wako utajiju....ila sizunguki na kandambili mie.....
mchina hashindwi kitukisukari umevunja mbavu zangu kwa comment yako. Vipi mashine ya kuunganisha mbavu nitapata?
lol..... Nimependa huu ujumbe.... :wink2:
ina mazara makubwa sana na ndio mana wengi wao hufa kwa cancer za matiti.........guarantee yake si zaidi ya 15yrs unaanza kuona madhara yake
kesho standing wesire.....
Hapo nimefarijika.mchina hashindwi kitu