Mashine ya kunyanyulia manyonyo

Mashine ya kunyanyulia manyonyo

jeez! kazi ipo aisee...

ipo mara kidogo???unadhania kuna mwanamke asiyependa maziwa yake yabaki saaa sita,.....nature is soo cruel ila ndio hivyo life lazima lisonge!!!!!
 
ipo mara kidogo???unadhania kuna mwanamke asiyependa maziwa yake yabaki saaa sita,.....nature is soo cruel ila ndio hivyo life lazima lisonge!!!!!

yeah, i guess you are right jestina although we we don't always win this fight against nature
 
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............

Kwani unapofanya jambo juu ya mwil wako unafuata wanaume wanataka nini au wewe unataka nini.
 
wanawake inabidi tuamke usingizini mie zilishalala na niko proud nazo sbabu zina matunda nayofurahia kila napoyatazama hao wachina wakafilie mbali na biashara zao
 
ina mazara makubwa sana na ndio mana wengi wao hufa kwa cancer za matiti.........guarantee yake si zaidi ya 15yrs unaanza kuona madhara yake
 
sasa mlitegemea kama yameanguka,tutembee hivyo hivyo na kandambili zetu???.....nayapiga jeki na wonder bra ...ukinifunua ukikuta sivyo ulivyotegemea,uamuzi ni wako utajiju....ila sizunguki na kandambili mie.....
maskini wee
 
unaweza ukapata wazimu wanaume wote wanaokupenda wakikuambia nini wanataka/kupenda toka kwako.
 
mahusiano, mapenzi ni mtihani ambao hata maprofesa wanaweza kupata sifuri kama sio bichwa. What u need is not what ur interested 4. Just testing da fleva. Leo stending milk, kesho standing wesire, kesho kutwa...............................
 
Ndo maana tangu juzi namuona john cena hapa sinza.Kumbe naye kile kifua anakiinua pale ati!
 
Hawa wachina si watatuletea na mashine za kunyanyulia vitambi.
 
Back
Top Bottom