INAUZWA Mashine ya kutengeneza toothpick na vijiti vya kuchomea nyama zinauzwa

INAUZWA Mashine ya kutengeneza toothpick na vijiti vya kuchomea nyama zinauzwa

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Habari za leo.

Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana.

Zimetumika kwa miezi michache.

Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab.

Ukinunua ukafunga wafanyakazi wako watapewa mafunzo kwa wiki moja. namna ya kuzitumia.

Bei ni mil 20. Not negotiable.
Mashine ya kukata bamboo
Mashine ya kuchana vipande vipande.
Mashine ya kutengeneza vijiti vya toothpick
Mashine ya kutengeneza vijiti vya kuchomea nyama
Mashine ya kukata vijiti
Mashine ya kufanya polishing
Mashine ya kuvipanga ili kupack
Mashine ya kunolea..

0713-683422. Whatsapp /call
IMG_20201111_090250.png
IMG_20201111_090441.png
IMG_20201111_090327.png
Screenshot_20201111-084620.png
IMG_20201111_090525.png
Screenshot_20201111-084742.png
IMG_20201111_090627.png
IMG_20201111_090712.png
 

Attachments

  • IMG_20201117_074704.png
    IMG_20201117_074704.png
    80.1 KB · Views: 55
Habari za siku. Mashine bado zipo
 

Attachments

  • IMG-20201114-WA0004.jpg
    IMG-20201114-WA0004.jpg
    72.1 KB · Views: 58
  • IMG-20201114-WA0002.jpg
    IMG-20201114-WA0002.jpg
    57.5 KB · Views: 57
Location ya kiwanda sio rafiki huyu alitakiwa akakifunge kule mafinga, bamboo zipo
Mwanzoni kilifanya vizuri. Baada ya mabadiliko ya gharama za usafiri imekuwa ni kazi kuleta malighafi kwa wakati. Alichosema mchangiaji ni sawa itapunguza gharama lakini bado bidhaa itasafirishwa kuletwa sokoni
 
Ndio. Sio mafinga pekeyake sehemu yenye Bamboo za kutosha, Tanga, Mbeya, songea na maeneo mengine Mengi
 
Back
Top Bottom