Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Mama hatumdai, hana deniHabarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa
Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa wapange foleni katika kupata huduma hii tena kwa kusubiri masaa mengi sana... Foleni hiyo sio hapo hapo hospitalini TU bali ni katika hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Upanga
Ni aibu kwa Hospitali yenye hadhi ya TAIFA kama Mloganzila kukosa huduma hii muhimu, pamoja na jitihada za Mheshimiwa Rais kukuza sekta ya afya lakini kuna baadhi ya watendaji wanamuangusha. Kwa inavyoonekana kuna watendaji wazembe (Wakurugenzi na wakuu wa idara) hapo hospitalini wanasababisha Mashine hii kuharibika na kutofanyiwa matengenezo kwa wakati (Wakibisha ushahidi nitauweka hewani kwa sababu upo)
Wagonjwa wanahamishwa kutokea Muhimbili Mloganzila kwenda Muhimbili Upanga jambo ambalo ni usumbufu kwa wagonjwa wengine inawabidi wasile siku nzima kusubiria kipimo lakini mwisho wa siku hawafanyiwi, sasa kushindishana njaa siku nzima maana yake nini? Hii ni sawa kweli?
Vile vile wagonjwa wengine wanatoka mbali sana mwisho wa siku wanaamua kuondoka,kukesha hospitali na wengine kukata tamaa ya kupata huduma kwa sababu kunakuwa na mlundikano wa wagonjwa wanohitaji kipimo hicho kutoka Muhimbili Upanga na Muhimbili Mloganzila
Pia kwa kuwa Mloganzila wana mashine moja ya MRI napendekeza au kushauri waongezewe mashine nyingine ya MRI ili watoe huduma stahiki kwa wakati
Tunapaza sauti suala hili lifanyiwe kazi haraka na mashine ya MRI irudi kwenye hali yake ya kawaida.
ASANTE
Aisee! Kweli nchi hii tatizo letu kubwa ni la akili.300M
Naomba niulize kwanza hicho kipimo cha MRI kinauzwa kiasi gani mpaka kiwepo kimoja hapo hospitalini na kazi yake kuu haswa ni ipi ? Mimi nimefikiri huwenda ni kipimo cha magonjwa makubwa na kinabai kwa uharaka zaidi , naombeni mnisaidie ? Alafu sekta ya afya mbona ina mipesa mingi.Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa
Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa wapange foleni katika kupata huduma hii tena kwa kusubiri masaa mengi sana... Foleni hiyo sio hapo hapo hospitalini TU bali ni katika hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Upanga
Ni aibu kwa Hospitali yenye hadhi ya TAIFA kama Mloganzila kukosa huduma hii muhimu, pamoja na jitihada za Mheshimiwa Rais kukuza sekta ya afya lakini kuna baadhi ya watendaji wanamuangusha. Kwa inavyoonekana kuna watendaji wazembe (Wakurugenzi na wakuu wa idara) hapo hospitalini wanasababisha Mashine hii kuharibika na kutofanyiwa matengenezo kwa wakati (Wakibisha ushahidi nitauweka hewani kwa sababu upo)
Wagonjwa wanahamishwa kutokea Muhimbili Mloganzila kwenda Muhimbili Upanga jambo ambalo ni usumbufu kwa wagonjwa wengine inawabidi wasile siku nzima kusubiria kipimo lakini mwisho wa siku hawafanyiwi, sasa kushindishana njaa siku nzima maana yake nini? Hii ni sawa kweli?
Vile vile wagonjwa wengine wanatoka mbali sana mwisho wa siku wanaamua kuondoka,kukesha hospitali na wengine kukata tamaa ya kupata huduma kwa sababu kunakuwa na mlundikano wa wagonjwa wanohitaji kipimo hicho kutoka Muhimbili Upanga na Muhimbili Mloganzila
Pia kwa kuwa Mloganzila wana mashine moja ya MRI napendekeza au kushauri waongezewe mashine nyingine ya MRI ili watoe huduma stahiki kwa wakati
Tunapaza sauti suala hili lifanyiwe kazi haraka na mashine ya MRI irudi kwenye hali yake ya kawaida.
ASANTE
NakaziaAisee! Kweli nchi hii tatizo letu kubwa ni la akili.
Kwa jinsi zinavyozungumziwa na uadimu wake nilidhani MRI moja ikiwa bei ya chini basi inagharimu angalau mamia kadhaa ya mabilioni ya shilingi!
Hili linawezekana lkn hao jamaa huwa hawafanyi mambo pasina maslahi yaoTuitishe harambee ya wafanya biashara, angalau tuweze kupata mashine 20
Kama 20,000 za vibali vya wamachingaHili linawezekana lkn hao jamaa huwa hawafanyi mambo pasina maslahi yao
Kwenye mboga mboga kule waametoa mpunga mnene kwakuwa wanajua mwisho wa siku mambo yao yataenda
Ni makusudiGharama ya MRI ni 3.5 bilioni hadi 7 bilioni inategemea na nguvu ya sumaku na mwaka wa utengenezaji
Gharama za kuandaa chumba cha kuweka hio mashine ni 1 .5 bilioni hadi 2 bilioni
Matengenezo ni 300 milioni Hadi 700milioni
Lakini sizani kama nchi tumeshindwa kuwa Nazo hata 100 tu hii ni makusudi tu
Watu wa mipango wizara ya afya, wapambane na hili?Hili linawezekana lkn hao jamaa huwa hawafanyi mambo pasina maslahi yao
Kwenye mboga mboga kule waametoa mpunga mnene kwakuwa wanajua mwisho wa siku mambo yao yataenda
KabisaVyama vitavoshiriki uchaguzi ni 18, kila mgombea amepewa V8 inamaana hyo pesa iliyotumika ingetupa MRI 18
Astàkafilulah mi nilihisi MRI Moja inagharimu tillion tatu mpaka sita kumbe ni b 3 mpaka 6Gharama ya MRI ni 3.5 bilioni hadi 7 bilioni inategemea na nguvu ya sumaku na mwaka wa utengenezaji