KERO Mashine ya MRI Mloganzila Hospital ni MBOVU

KERO Mashine ya MRI Mloganzila Hospital ni MBOVU

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Lisu alitumika kama kondomu na genge la mtandao kumshambulia Magufuli.

Sasa wamemtupa
 
Ingekuwa enzi za Magu Uzi kama huu sahizi hao wanaohusika na MRI wangekuwa. Wanahaha lakini Kwa Sasa watausoma Uzi wako alafu wataagiza bia baridi wapoze koo
 
Gharama ya MRI ni 3.5 bilioni hadi 7 bilioni inategemea na nguvu ya sumaku na mwaka wa utengenezaji

Gharama za kuandaa chumba cha kuweka hio mashine ni 1 .5 bilioni hadi 2 bilioni

Matengenezo ni 300 milioni Hadi 700milioni

Lakini sizani kama nchi tumeshindwa kuwa Nazo hata 100 tu hii ni makusudi tu
Bado ni gharama kidogo sana. Nilidhani ikiwa bei ya chini inagharimu mamia kadhaa ya mabilioni. Sioni tunashindwaje kuwa nazo nyingi wakati mambo yasiyo na umuhimu kibao huwa tunayafanya.

Naona waafrika si tu tunaishi katika mazingira ya umasikini kwa sababu tu ya kukosa maarifa, lakini pia kuna namna tunachukulia ufahari kuishi katika mazingira hayo. Kuna vitu/mambo hayatakiwi kutupa tabu, ila ajabu yanatupa zaidi ya tabu!
 
Kiuhalisia ilibidi Kila hospital ya wilaya uwepo lakn sisi hatuna fikra hzo bado
 
Kiuhalisia ilibidi Kila hospital ya wilaya uwepo lakn sisi hatuna fikra hzo bado
Bila shida kabisa, na wala isingekuwa habari ya kukaa front page.

Bahati mbaya bado tunafikiria tunapataje misaada ya ujenzi wa vyoo mashuleni huku hela zetu tukitumia ku finance bata za wachache.

Halafu wenye akili wakiendelea na kuwaza mambo makubwa tunaishia kuwaita wezi wa rasilimali zetu!
 
Back
Top Bottom