Habari zenu wana JF!
Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?
Sote kwa pamoja tusimame tuliombee hili kojoleo kifo chema na pumziko la amani.
Mafikizolo usilete umbea wako hapa na pacha wako tabibumtaratibu. Mwanaume anaadhirika huku...
Anza maombi sasa, menimefunga macho
Inawezekana unachukia kazi kwahiyo ukishtuka tu aaahaa...kazini, damn?, unammka ukiwa umeishiwa tayari, pili huna mtazamo chanya of a new day!Habari zenu wana JF!
Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?
Too late. Mpokea sala keshaenda kupumzika. RIP gegedo.
Sote kwa pamoja tusimame tuliombee hili kojoleo kifo chema na pumziko la amani.
Mafikizolo usilete umbea wako hapa na pacha wako tabibumtaratibu. Mwanaume anaadhirika huku...
Habari zenu wana JF!
Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?
ugusishe waya wa umeme utasimama tu mkuu
Me nimesha funga macho, inaonekana mtoa maombi hana imaniLeo siumesema umeamka na upako haya anza maombi gegendo la mchizi lianze kusimama kila asubuhi aamkapo na kila anapo bwanwa na mkojo tabibumtaratibu kaatayari kwa maombi!!
Me nimesha funga macho, inaonekana mtoa maombi hana imani