Mashine yangu haisimami asubuhi

Mashine yangu haisimami asubuhi

Mkuu2015

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Habari zenu wana JF!

Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi uume huwa unasimama, sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please.

Je ni kawaida isiposimama asubuhi?
 
Sote kwa pamoja tusimame tuliombee hili kojoleo kifo chema na pumziko la amani.

Mafikizolo usilete umbea wako hapa na pacha wako tabibumtaratibu. Mwanaume anaadhirika huku...
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana JF!

Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?

Hizo ni dalili za kuishiwa nguvu za kiume. waone daktari.
 
Ni dalili ya kuwa na ugonjwa uitwao WWUM (woga wa ukimwi mwilini) Sio swala la kujutia bali ni suala la kusherehekea.
 
physical exercise itakuwa mkombozi wako.
huta jutia dakika zako ishirini za kupiga zoezi la mwili kila siku. Na utalshangaa mwenyewe jindi mwanaume atakavyorudi ktk hali yake ya awali
kwa habari ya chakula watakueleza wengine
halafu cheki kama unamsongo wa mawazo yawezekana ndio chanzo cha tatizo lako.
 
Habari zenu wana JF!

Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?
Inawezekana unachukia kazi kwahiyo ukishtuka tu aaahaa...kazini, damn?, unammka ukiwa umeishiwa tayari, pili huna mtazamo chanya of a new day!
Fanya yafuatayo......
1) fanya kazi uipendayo bila kujali kipato cha tamaa or learn to love your work.
2) Epuka kuamka bila balance B/D ya cash.
3) Kama una mke jenga tabia ya kumpasha asubuhi, ratiba hii ikizoeleka Bamdogooooo atakuwa hewani kila ikifika mda wake wakum-nail someone which is offcourse kumi na moja or kumi na mbili.
 
Leo siumesema umeamka na upako haya anza maombi gegendo la mchizi lianze kusimama kila asubuhi aamkapo na kila anapo bwanwa na mkojo tabibumtaratibu kaatayari kwa maombi!!
Sote kwa pamoja tusimame tuliombee hili kojoleo kifo chema na pumziko la amani.

Mafikizolo usilete umbea wako hapa na pacha wako tabibumtaratibu. Mwanaume anaadhirika huku...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo umeme mdogo ndo maana mashine inasumbua,,,,,,,,,,,,,,
Ita professional fundi umeme ambae ni qualified in the field
 
Aisee pole sana mkuu!

Mi hapa ishakuwa kama ratiba, mkonga naugeuzia direction kila siku alfajiri usiumie kwa erection! lol.
 
Au ni mavyakula unayobugia kila siku mkuu?

Hebu jiweke wazi milo yako ya kila siku ikoje?

Halafu pia unajua kuna uhusiano mkubwa sana kati ya misuli ya Dushelele na ile Misuli inayosapoti maeneo ya Haja kubwa!

Sasa kama umeanza mchezo wa kuguswa 0713 utakuwa umeharibu kabisa systems za Dushelele....

Nahisi tu!
 
Habari zenu wana JF!

Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi mashine huwa imesimama! sasa mimi hata nikiwa nimebanwa na haja ndogo bado inakuwa imelala! What should I do Jf members? Ila ikifika maswala fulani inasimama kama kawaida! Nisaidieni please! Je ni kawaida isiposimama asubuhi?

Dah... kweli matatzo mengine yasikie tu nyumba ya jirani. Pole sana mkuu. Mi sio mtaalamu wa magonjwa hayo ila nachojua mtu hata uwe ume gegeda vp asubuhi ukiamka lazma kunakua na msisimko flan pande hzo. Either way waone wataalam kwa ushauri wa uhakika.
 
Acha kula vyakula vya ajabu, acha ulevi, fanya mazoezi
 
Back
Top Bottom