Hiyo "nasikia" kwanini usiende kwa muuza juisi ukaone jinsi mtambo huo unavyofanya kazi? Muwa unapta mara moja tu hakuna kuruia, inachuja yenyewe....kapi linalotoka unaweza kupiga kiberiti likawaka maana inakamua hakuna kubakiza hata tone la juisi maana muwa unapita kwenye roller 3 wakati hizi made in Sido niroller mbili.
Hapa jijini MWanza ni mimi tu mwenye mashine hizi maana hap kijiweni kwangu limegeuga banda la maonyesho ya saba saba! Asante JF maana ni hapa nilipojifunza juu ya mashine zenye roller 3