INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Habari,
Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa

Inachuja yenyewe

Inaweza kusaga mpaka miwa 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
1,100,000/ only
Call/whatsapp 0673206639 or 0788622610 whatsapp
Tupo kariakoo Dar es salaam

UPDATE
Mzigo mpya umeingia,zipo pisi 2 wahi sasa ujipatie
 
Weka bei bas wengine tujithmini pm ya nn
 
Ukipata sehemu yenye umeme mbona fresh tu unafanya biashara,tatizo mikoani maeneo mengi hayana umeme labda ndio inaweza ikawa changamoto mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…