INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

Very interesting mkuu.

Kuna vitu nikuulize, Hii machine pia ina cool? maana muundo wake ni kama vile inaweza kufanya cooling kabisa.
Sema kuna kitu kimoja hapo kinapotea, lile povu povu la muwa nalo zuri....
 
Bei ya cash kiasi gani? Vyuma vimekaza na grisi hamna....

Pia nasikia zinaharabika mara kwa mara?
Toka tuanze kuuza sijawahi pata malalamiko ya kuharibika

Na kuhusu ndio hiyo hapo nilioiweka
 
Very interesting mkuu.

Kuna vitu nikuulize, Hii machine pia ina cool? maana muundo wake ni kama vile inaweza kufanya cooling kabisa.
Sema kuna kitu kimoja hapo kinapotea, lile povu povu la muwa nalo zuri....
Hain cooling system
 
Kwa watt 750 haili umeme mwingi kivile,ukichukulia hii haiwaki saa nzima kwa mfuatano,
ina maana akija mteja ndo inawashwa mteja anapata juice fresh papo kwa papo
 
Back
Top Bottom