INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

Kwa watt 750 haili umeme mwingi kivile,ukichukulia hii haiwaki saa nzima kwa mfuatano,
ina maana akija mteja ndo inawashwa mteja anapata juice fresh papo kwa papo
Asante kwa ufafanuzi
 
Vp kuhusu kusafishika?inasafishika kiuwepesi?hasa hasa yale maroller?
 
Hvi mua nao mpk tukamuliwe ? DaAh wazee wetu tusikitike kwanza
 
Nimeona namba zako wewe pia unauza blender. Niko mwasonga ukipita kibada mbele ya DSM Zoo waweza kuniletea blender moja huku?
 
Duh hii ya ukweli sana sema tu vile ndo vile wengine tupo bushi
 
Karibuni zimekuja machine mbili
 
Kwa wale ambao walikosa na ambao wabaraka kuchukua machine zishakuja
 
ubuntuX,
Mzigo mpya umeingia,zipo pisi 2 wahi sasa ujipatie[/QUOTE]

lakini juice ni ileile haina tofauti na juice za mashine za zamani
 
Back
Top Bottom