Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawakomboa wengi zilikuwa zinauzwa hadi million 5Zipo tano tu wadau,kuna wale ambao waliziulizia zikawa hamna sasa zishakuja na namba zenu sina tena
Nakupigia hupokei,naihitaji leo asubuhi mkuu plz usiuzeZimekuja tano,now zimebaki tatu sidhani kama zitafika hata kesho mkuu.
PoaNipigie zimebaki tatu tu mkuu
Unautani na SIDONi kweli mkuu,au utakuta yale machuma ya sido hayapo katika usafi,mazito sana na ngumu kuyatumia nayo yanauzwa ghali mpaka nashangaa..
Una frustrations lakini humzidi anko maguNisamehe nina frustrations zangu
Mbona hajasema mtu aende pm?
Et machumaNi kweli mkuu,au utakuta yale machuma ya sido hayapo katika usafi,mazito sana na ngumu kuyatumia nayo yanauzwa ghali mpaka nashangaa..
Jana nlikupigia leo nakuja asubuhi kuchukua,tafadhali niwekeeWahi zimebaki mbili tu