Mimi nahitaji mnitengeneze kama hii hapa chini kitu kitoke kama kilivyo,hii ndugu Laki saba na nusu tuView attachment 1162996
Unatengenezewa Mkuu hiyo ni interlocking karibu sanaMimi nahitaji mnitengeneze kama hii hapa chini kitu kitoke kama kilivyo,
View attachment 1163001
na allignment ya tofali iwe imesimama kweli kweli kama hii hapa chini
View attachment 1163002
Bei yenu inaweza kuwa kati ya sh ngapi?
Karibu sana mkuu lolote tupigie 0659567058Tutakuja kununua hizo mashine
mkuu hii mashine ya tofali za interlocking unatumiq udongo wa aina gani.maana kwenye picha naona kama tofali nyukundu flani hivi ?hii ndugu Laki saba na nusu tuView attachment 1162996
Udongo ni wa kawaida kila kitu tutakuelekeza ulitoe vipi karibumkuu hii mashine ya tofali za interlocking unatumiq udongo wa aina gani.maana kwenye picha naona kama tofali nyukundu flani hivi ?
inawezekana kutumia simenti na mchanga?.nauliza ili nifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mtu nishampa info zako atakucheki hapi kati ya leo ama kesho
Asante mkuu karibuni sanakuna mtu nishampa info zako atakucheki hapi kati ya leo ama kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Interlocking hizo laki saba na nusu tu karibu tupigie 0762612213Kuna zile tofali ambazo kati kuna
Matundu mawili zile bei gani mashine zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana lolote tupigieHuu Uzi nimeu subscribe hizi tofali nazipenda sana soon nitakucheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kukupigia hupatikani ndugu! Nahitaji Interlocking Brick Making Machine, Kama mnaweza kutengeneza ya umeme it will be better but even the manual one! Please DM me some pictures!
Sorry ndugu huenda simu yetu ilikuwa off muda huoNimejaribu kukupigia hupatikani ndugu! Nahitaji Interlocking Brick Making Machine, Kama mnaweza kutengeneza ya umeme it will be better but even the manual one! Please DM me some pictures!