Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

Tofali
IMG-20200510-WA0007-scale-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ipo mkuu umeme ni gumu maana mashine yake inatumia nguvu kubwa ya mtetemo au vibration katika kuizalisha kuliko mkono Japo tunaweza kukushauri uzalishe tofali gumu na bora walau kama yule wa umeme nitafute 0762612213 au 0745560687

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Richard vipi kuhusu matumizi ya umeme? Haiwezi kuwa nirahisi kutumia umeme lakini ikawa ghali kwa uzalishaji?
 
Back
Top Bottom