Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
- #81
Unataka ujenzi gharama nafuu tumia tofali za udongo 0717209569
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapatikana wapiMdau karibu kwa mashine call/sms 0717209569
MASHINE ZA TOFALI
Mashine za tofali za mkono utazipata kwa laki tano tu (500000)
Mashine za umeme zimegawanywa kutokana na uwezo wake
Mashine ya tofali moja ni million mbili na nusu (2.5m)
Mashine ya tofali mbili kwa wakati mmoja million mbili na laki saba tu (2.7m)
Mashine ya tofali nne million kumi na mbili
Na mashine ya tofali nane million 26 tu
Pia zipo za udongo hizi manual laki saba na nusu tu
Na umeme million nne tu tofali kubwa
Zipo za paving pia manual laki saba na nusu tu
Umeme inakuwa na maua manne ni million tatu na nusu
Mixer pia zipo kuanzia nusu mfuko hii 3.5m
Robo tatu 4.5m
Mfuko mzima 5.5m
Rahisisha ujenzi wako kwa kuzipata hizi mashine imara na bora 0717209569
Mashine ambayo hatuna tuulize tutakujibu
Wale wasio na umeme ipo ya mafuta 4m tu karibuni sanaView attachment 1020420View attachment 1020421View attachment 1020422View attachment 1020423View attachment 1020424View attachment 1020425View attachment 1020426View attachment 1020427View attachment 1020428
Sent using Jamii Forums mobile app
TUpo Dar Es salaam,Dodoma,Iringa na MorogoroMnapatikana wapi
Nipo KahamaTUpo Dar Es salaam,Dodoma,Iringa na Morogoro
Mkuu hii kwa Sasa ni bei Gani?hii ndugu Laki saba na nusu tuView attachment 1162996