Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini wadau,
Katika njia zangu za kutafuta pesa nikakutana na kampuni moja ya kichina inayotegeneza na kuuza incubator na vifaa vyoote vya ufugaji ikiwa pamoja na machine za kutengeneza chakula cha kuku, trays nk kwa bei nafuu sana na zenye viwango vya kimataifa.
Namna ya kununua.
utafungua file la pdf kwenye attachment utachagua incubator uitakayo na kusoma kwa makini sifa za hiyo incubator uliyoipenda. (ili ikija haina sifa ulizochagua uikatae na hata hatua za kisheria zikichukuliwa ukamshinde)
mzigo uko china cha kufanya wewe ni kuwasiliana na mimi na kuweka order bila kutoa hata mia nitakuambia mda maalum ni lini upate machine yako na bei yake. (ukilizika na bei ndo uweke order)
Utajaza fomu maalumu ya kisheria ya kufanya malipo mara tu mzigo wako utakapouona na kuutest huku ukifuatisha fomu ya kisheria uliyojaza kama machine ina sifa ulizozichagua na siviginevyo
Namna ya mzigo kufika.
ukitaka mzigo wako uje kwa njia ya maji utachukua siku 30 hadi 40, na bei yake ni nafuu.
ukitaka mzigo wako uje kwa ndege (via courier companies like DHL, FEDEX, UPS nk) utaupata ndani ya siku saba za kazi ila bei yake iko juu kidogo, (pia ukumbuke mzigo unaweza ukaingia mapema ila clearance custom ikachelewesha utokaji wake)
Note. Unaweza ukaniambia aina yeyote ya incubator unayohitaji kwa kunitajia sifa maana hizo kwenye attachment ni baadhi tu.
ukitaja zingatia:
Capacity, Power, Kg, Size, Life Time, Condition, Color, Material, Heating Methods nk.
tukutane pm
Kikubwa ni uaminifu.
Haya ndio maneno mkuu..Habarini wadau,

Sikuhizi mpo wengi
NDUGU ZANGU,
MIMI NI MJASIRIAMALI NINAYE ENDESHA SHUGHULI ZANGU SHAGHAI CHINA,KAMA MTU ANATAKA INCUBATOR, DRY CLEANER ZA MAJUMBANI ZINAZO KULA UMEME KIDOGO, SMART PHONE ZA UKWELI ZA ASUS, HUAWEI NA KITU MATATA CHA OPPO NI BRAND MPYA HAUNA HAJA YA KUGUSA KIOO UNAONESHA ISHARA TUU.
KWA MAWASILIANO +86 13129985224
E MAIL henryest600@yahoo.com
nikikutumia mzigo utaenda kuchukua ushalipiwa kila kitu.,