Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Pia unaweza ukaweka order kwa kuja kulipia mzigo tu, usumbufu na gharama za clearance custom (ushuru TRA) unakuja unalipia wewe mwenye mzigo utatumwa kwa jina lako na tracking number utapatiwa.
 
"Wafahamu mge"

Mge ni kampuni binafsi iliyoanzishwa kisheria na waalimu mahiri wa ufundi wa shule za ufundi na vyuo vya veta.

Kampuni ilianzishwa mkoani iringa miaka saba iliyopita;na kufungua ofisi ktk mikoa ya mtwara na dar es salaam,ambapo mburahati dar es salaam ndio makao makuu kwa sasa.
Lengo la kampuni ni kubuni vifaa;mitambo;na mashine mpya zinazoweza kuwasaidia wananchi na zinazoweza kupatikana kwa gharama ndogo na zidumu.

Vifaa, mashine au mitambo mingi inayotoka nje ya nchi na baadhi ya zinazoundwa na baadhi ya mafundi hapa tanzania zinauzwa gharama kubwa sana na kusababisha wananchi kushindwa kumudu kununua.

Mge ni wakombozi wako;agiza leo bidhaa toka mge.

Baadhi ya bidhaa ni:-

1.egg incubator za umeme au mafuta ya taa(mashine za kutotoleshea mayai).
2.automatic inverter
3.inverter charger
4.energy server
5.miracle charger nk.

Mawasiliano;
DSM:0784413039;

Masasi:0787150720.

Mge.
994599_0_original.jpg
Cabinet-Incubator.jpg
969280_519077874818149_285818402_n.jpg
922830_519074771485126_703367287_n.jpg
 
Naomba kuonana na mjasiriamali yeyote ambaye anatotolesha vifaranga kwa incubator ili nijifunze jinsi ya kupata vifaranga vya aina mbali mbali. Shukrani
 
A:Automatic egg Incubators;
and Handle egg turner.
1.30.........400000
2.60.........500000
3.90.........600000
4.120......800000
5.150......900000
6.180......1000000
7.210......1200000..700000
8.240......1300000..750000
9.270......1400000..800000
10.300...1500000..850000
11.360...1600000...900000
12.480...20000000...1300000
13.600...2500000...1500000
14.720...2600000...1600000
15.900...2800000...1800000
16.1080..3000000..2000000
17.1260..3200000..2200000
18.1440..3400000..2400000
19.1500..3500000..2500000
20.2000..4000000..3000000

B:MGE EGG INCUBATOR
ELECTRICAL AND KEROSENE POWERD INCUBATOR;HAND EGG TURN.

This is all Incubators which carries egg not above 180.
1.30-60...........200000
2.90..................300000
3.120...............380000
4.150...............450000
5.180...............550000.

NB.PRICE CAN CHANGE ANY TIME ACCORDING TO TH) AVAILLABILITY OF MATERIAL.

More info:0784413039.
"WELLCOME MGE INCUBATORS YOUR WAY TO SUCCESS"
 
Incubator yenye uwezo wa kutotoresha mayai 48,incubator ambayo ni FULL AUTOMATIC zinauzwa!Bei ni Tsh 400,000/= kwa wale ambao ni serious buyers wanaweza kuni pm au kupiga namba hizi: 0713670026 au 0713784634
 
Habarini wadau,

Katika njia zangu za kutafuta pesa nikakutana na kampuni moja ya kichina inayotegeneza na kuuza incubator na vifaa vyoote vya ufugaji ikiwa pamoja na machine za kutengeneza chakula cha kuku, trays nk kwa bei nafuu sana na zenye viwango vya kimataifa.

Namna ya kununua.

utafungua file la pdf kwenye attachment utachagua incubator uitakayo na kusoma kwa makini sifa za hiyo incubator uliyoipenda. (ili ikija haina sifa ulizochagua uikatae na hata hatua za kisheria zikichukuliwa ukamshinde)

mzigo uko china cha kufanya wewe ni kuwasiliana na mimi na kuweka order bila kutoa hata mia nitakuambia mda maalum ni lini upate machine yako na bei yake. (ukilizika na bei ndo uweke order)

Utajaza fomu maalumu ya kisheria ya kufanya malipo mara tu mzigo wako utakapouona na kuutest huku ukifuatisha fomu ya kisheria uliyojaza kama machine ina sifa ulizozichagua na siviginevyo

Namna ya mzigo kufika.

ukitaka mzigo wako uje kwa njia ya maji utachukua siku 30 hadi 40, na bei yake ni nafuu.
ukitaka mzigo wako uje kwa ndege (via courier companies like DHL, FEDEX, UPS nk) utaupata ndani ya siku saba za kazi ila bei yake iko juu kidogo, (pia ukumbuke mzigo unaweza ukaingia mapema ila clearance custom ikachelewesha utokaji wake)

Note. Unaweza ukaniambia aina yeyote ya incubator unayohitaji kwa kunitajia sifa maana hizo kwenye attachment ni baadhi tu.

ukitaja zingatia:

Capacity, Power, Kg, Size, Life Time, Condition, Color, Material, Heating Methods nk.

tukutane pm

Kikubwa ni uaminifu.

mimi sijui jinsi ya Ku pm maana sioni icon ya kunionyesha ili tuwasiliane...
waweza nitumia namba yako kupitia namba yangu 0759501127 I'm serious naomba tuwasiliane.
 
Habarini wadau,

Katika njia zangu za kutafuta pesa nikakutana na kampuni moja ya kichina inayotegeneza na kuuza incubator na vifaa vyoote vya ufugaji ikiwa pamoja na machine za kutengeneza chakula cha kuku, trays nk kwa bei nafuu sana na zenye viwango vya kimataifa.

Namna ya kununua.

utafungua file la pdf kwenye attachment utachagua incubator uitakayo na kusoma kwa makini sifa za hiyo incubator uliyoipenda. (ili ikija haina sifa ulizochagua uikatae na hata hatua za kisheria zikichukuliwa ukamshinde)

mzigo uko china cha kufanya wewe ni kuwasiliana na mimi na kuweka order bila kutoa hata mia nitakuambia mda maalum ni lini upate machine yako na bei yake. (ukilizika na bei ndo uweke order)

Utajaza fomu maalumu ya kisheria ya kufanya malipo mara tu mzigo wako utakapouona na kuutest huku ukifuatisha fomu ya kisheria uliyojaza kama machine ina sifa ulizozichagua na siviginevyo

Namna ya mzigo kufika.

ukitaka mzigo wako uje kwa njia ya maji utachukua siku 30 hadi 40, na bei yake ni nafuu.
ukitaka mzigo wako uje kwa ndege (via courier companies like DHL, FEDEX, UPS nk) utaupata ndani ya siku saba za kazi ila bei yake iko juu kidogo, (pia ukumbuke mzigo unaweza ukaingia mapema ila clearance custom ikachelewesha utokaji wake)

Note. Unaweza ukaniambia aina yeyote ya incubator unayohitaji kwa kunitajia sifa maana hizo kwenye attachment ni baadhi tu.

ukitaja zingatia:

Capacity, Power, Kg, Size, Life Time, Condition, Color, Material, Heating Methods nk.

tukutane pm

Kikubwa ni uaminifu.
Haya ndio maneno mkuu..

Nimefungua document nimevutiwa na hii ya mayai 3520, il bei hujaweka japo umetaja ni cheap.

Vipi kuhusu power consumption, zinaweza kutumia solar maana wengine project zetu ziko ndani sana huko maporini na ni vigumu kuwa na umeme wao huu wa Muhongo
 
Mkuu hzo incubator zako zinaingia mayai 2000 kwenye Hatcher na 2000 kwenye setter?pls fafanua kidogo hapo mkuu,nlikua nahitaji Hatcher peke yake.
 
hizo za vifaranga mia itakuja kwa bei gani tuanze kuandaa hadi hapo zitakapo kuja?
 
Tafadhali naomba msaada nataka kuagiza egg incubator kutoka China ila nataka kujua kama unatakiwa uwe na kibali kutoka wizara ya mifugo kwani product zingine za mifugo kama nyama. Ngozi mpaka upate kibali kutoka wizara husika hlf charges zingine kama TAX naomba kujuzwa iwapo mzigo ukishafika bandarini
 
NDUGU ZANGU,
MIMI NI MJASIRIAMALI NINAYE ENDESHA SHUGHULI ZANGU SHAGHAI CHINA,KAMA MTU ANATAKA INCUBATOR, DRY CLEANER ZA MAJUMBANI ZINAZO KULA UMEME KIDOGO, SMART PHONE ZA UKWELI ZA ASUS, HUAWEI NA KITU MATATA CHA OPPO NI BRAND MPYA HAUNA HAJA YA KUGUSA KIOO UNAONESHA ISHARA TUU.
KWA MAWASILIANO +86 13129985224
E MAIL henryest600@yahoo.com
nikikutumia mzigo utaenda kuchukua ushalipiwa kila kitu.,
 
Unaonaje kama ukiweka za mfano kwa picha au video yake Unaweza knife PM au whatsap 0756621841
 
Unaonaje kama ukiweka za mfano kwa picha au video yake,Unaweza kuni PM au whatsap 0756621841.
 
Unaonaje kama ukiweka za mfano kwa picha au video yake Unaweza kuni PM au whatsap 0756621841
 
NDUGU ZANGU,
MIMI NI MJASIRIAMALI NINAYE ENDESHA SHUGHULI ZANGU SHAGHAI CHINA,KAMA MTU ANATAKA INCUBATOR, DRY CLEANER ZA MAJUMBANI ZINAZO KULA UMEME KIDOGO, SMART PHONE ZA UKWELI ZA ASUS, HUAWEI NA KITU MATATA CHA OPPO NI BRAND MPYA HAUNA HAJA YA KUGUSA KIOO UNAONESHA ISHARA TUU.
KWA MAWASILIANO +86 13129985224
E MAIL henryest600@yahoo.com
nikikutumia mzigo utaenda kuchukua ushalipiwa kila kitu.,

Incubator mayai 60 mpaka 80 bei gani?
 
Back
Top Bottom