Shomary N. Shomary
Member
- Sep 1, 2015
- 22
- 2
Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.
Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.
--------------------
Nasi pia tunauza Automatic incubator mayai 7, 48, 96, 106 kutoka China.Anaehitaji aweza kuni PM
naomba nione ya mayai 90
Nipe order nitakuletea kutoka uk, ni mp, bei pounds 120
Egg 96
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari?
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????
Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni mjasiliamali anayejishugulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji. Shida yangu ni Incubator mashini ya kuangulia mayai. Sijawa na mtaji wa kununulia incubator halisi ila nataka nianze kwa jinsi ya kiasili kabisa ya kuangua mayai japo kati ya 25 hadi 40 ili kuokoa mayai mengi yanayoharibika kwa kuachwa na kuku mwenyewe na pia ili kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja. Sasa niliambiwa kuna njia fulani ya kutotolesha mayai bila kutumia incubator. Naomba msaada kwa anayefahamu.
Naomba kutoa hoja
ipi hioNimeipenda hii so ningependa kuipata na kuitumia katika shughuri zangu nijulishe nawezaje kuipata?/
ipi hio
I bought one, and still works f8ne!