Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Tumia namba 0784413039,mimi ni mkurugenzi wa mge kampuni inayojishughulisha na uundaji wa mashine mbali mbali zikiwemo automatic incubator
 
Habari wajasiriamali na wafugaji, Sudeki (kampuni ya utotoleshaji wa vifaranga) inauza incubators ambazo ni automatic na za mayai 96 kila moja zimetumika kwa miezi mitatu tu, uamuzi wa kuziuza umefikiwa baada ya kampuni kununua mashine kubwa zaidi.

Karibuni sana, kwa mawasiliano zaidi piga simu/whatsapp no;

0752 037 802, 0713 078 239, 0712 526 667 au ni-PM
1610113_1452188358330300_1428417511_n.jpg
1888569_1452188391663630_719338076_n.jpg
1891195_1452188374996965_965488890_n.jpg
 
Bei gani ya mayai 100

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
naomba mtuwekee bei za kila incubator iwe rahisi kujua kuliko kila mtu kuuliza!!!
 
Material zinazotumika kuundia incubator zetu ni za aina nyingi kutegemeana na mahitaji ya mteja.
Mwinhine anaweza akahitaji material za mbao furani na bati,aluminium,copper nk.hatufanyi kazi kwa material aina moja,tunaangalia mteja anataka nini na ana uwezo gani.

Pia hatujaweka bei kwa sababu hizohizo, kwani mfsno incubator moja tu, automatic inaweza ikawa na bei tano kutegemea aina za material zilizotumika.

Tunashauri mpige simu kupata maelezo zaidi kwa wenye nia. Hiyo attachment ya incubator, ni full automatic ya mayai 300, bei zake ni milioni moja na laki sita, milioni moja na laki tano, milioni moja na laki nne, milioni moja na laki tatu na milioni moja na laki mbili, mwisho.
 
Kwa hiyo napenda kuwadhihilishia wote mnaosoma matangazo yetu kuwa sisi kama mge tumejipabga vyema kuwapatia huduma bora ambayo hutajutia.

Tunaunda kwa material zinazopatikana hapa hapa tanzania, matengenezo ni rahisi, hazitumii umeme nwingi, na za mafuta ya taa hazitumii nafuta ya taa mengi.

Tuwasiliane tu, 0784413039
 
Tunaunda incubator aina zote,za idadi yoyote ya mayai.mfano kama hiyo ya mayai miatano,ikiwa automatic,itakuwa milioni moja na laki saba kwa material ya marine timber na galvanised metal sheet.kama ni metal ya aluminium ni 1.6,kama ni copper ni 1.9.kama ni alloy ni 1.5,kwa automatic.
Ikiwa manual inaanzia milioni moja mpaka milioni nne.material ya bati na mbao yanatofautisha bei zetu.
 
Mteja wa mge akifurahia automatic egg incubator yake mkoani njombe
1414755926196.jpg
 
Mwl.eliasante mwakalinga mwanzilishi wa kampuni ya mge akiwa na mashine za kutotokeshea vifaranga zitumiazo mafuta ya taa, kubwa inauwezo wa kuchukua mayai 150'na ndogo mayai 30.
1414756037816.jpg
 
Back
Top Bottom