Material zinazotumika kuundia incubator zetu ni za aina nyingi kutegemeana na mahitaji ya mteja.
Mwinhine anaweza akahitaji material za mbao furani na bati,aluminium,copper nk.hatufanyi kazi kwa material aina moja,tunaangalia mteja anataka nini na ana uwezo gani.
Pia hatujaweka bei kwa sababu hizohizo, kwani mfsno incubator moja tu, automatic inaweza ikawa na bei tano kutegemea aina za material zilizotumika.
Tunashauri mpige simu kupata maelezo zaidi kwa wenye nia. Hiyo attachment ya incubator, ni full automatic ya mayai 300, bei zake ni milioni moja na laki sita, milioni moja na laki tano, milioni moja na laki nne, milioni moja na laki tatu na milioni moja na laki mbili, mwisho.